Mwanzo 15:6
Mwanzo 15:6 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akamwamini BWANA, naye akamhesabia jambo hili kuwa haki.
Shirikisha
Soma Mwanzo 15Mwanzo 15:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Abramu akamwamini Mwenyezi-Mungu, naye Mwenyezi-Mungu akamkubali Abramu kuwa mwadilifu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 15