Mwanzo 16:11
Mwanzo 16:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Wewe ni mjamzito na utajifungua mtoto wa kiume; utamwita Ishmaeli, maana Mwenyezi-Mungu amesikia mateso yako.
Shirikisha
Soma Mwanzo 16Mwanzo 16:11 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Pia malaika wa BWANA akamwambia: “Wewe sasa una mimba nawe utamzaa mwana. Utamwita jina lake Ishmaeli, kwa sababu BWANA amesikia juu ya huzuni yako.
Shirikisha
Soma Mwanzo 16