Mwanzo 16:12
Mwanzo 16:12 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Naye atakuwa kama punda-mwitu kati ya watu, mkono wake utakuwa juu ya watu wote na mkono wa watu wote utakuwa juu yake, naye atakaa mbele yao ndugu zake wote.
Shirikisha
Soma Mwanzo 16Mwanzo 16:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Ishmaeli ataishi kama pundamwitu; atakuwa adui wa kila mtu na kila mtu atakuwa adui yake. Ataishi akiwa adui wa jamaa yake.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 16