Mwanzo 16:13
Mwanzo 16:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Hagari akampa jina Mwenyezi-Mungu aliyezungumza naye huko, “Wewe ni Mungu Aonaye” kwa maana alifikiri, “Kweli hapa nimemwona yeye anionaye!”
Shirikisha
Soma Mwanzo 16Mwanzo 16:13 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akaliita jina la BWANA aliyesema naye, Wewe U Mungu uonaye, kwani alisema, Hata hapa nimemwona yeye anionaye?
Shirikisha
Soma Mwanzo 16