Mwanzo 17:15
Mwanzo 17:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mungu akamwambia Abrahamu, Sarai mkeo, hutamwita jina lake Sarai, kwa kuwa jina lake litakuwa Sara.
Shirikisha
Soma Mwanzo 17Mwanzo 17:15 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Pia BWANA akamwambia Abrahamu, “Kwa upande wa Sarai mkeo, hutamwita tena Sarai bali jina lake litakuwa Sara.
Shirikisha
Soma Mwanzo 17