Mwanzo 17:17
Mwanzo 17:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Hapo Abrahamu akasujudu, akacheka moyoni mwake akiwaza, “Ati, itawezekana kweli mtoto kuzaliwa kwa mzee wa miaka 100? Na je, Sara ambaye umri wake ni miaka tisini, ataweza kupata mtoto?”
Shirikisha
Soma Mwanzo 17Mwanzo 17:17 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Abrahamu akaanguka kifudifudi, akacheka na kusema moyoni mwake, “Je, mtu wa miaka mia moja aweza kuzaa mwana? Je, Sara atazaa mtoto katika umri wa miaka tisini?”
Shirikisha
Soma Mwanzo 17