Mwanzo 17:5
Mwanzo 17:5 Biblia Habari Njema (BHN)
Tangu sasa, hutaitwa tena Abramu, bali utaitwa Abrahamu, maana nimekufanya kuwa baba wa mataifa mengi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 17Mwanzo 17:5 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Jina lako hutaitwa tena Abramu, bali jina lako litakuwa Abrahamu, kwa maana nimekufanya wewe baba wa mataifa mengi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 17