Mwanzo 17:7
Mwanzo 17:7 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Agano langu nitalifanya imara kati ya mimi na wewe, na uzao wako baada yako, na vizazi vyao, kuwa agano la milele, kwamba nitakuwa Mungu kwako na kwa uzao wako baada yako.
Shirikisha
Soma Mwanzo 17Mwanzo 17:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitalithibitisha agano langu nawe, wazawa wako na vizazi vyao vyote milele; tena nitakuwa Mungu wako na Mungu wa wazawa wako milele.
Shirikisha
Soma Mwanzo 17