Mwanzo 17:8
Mwanzo 17:8 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitakupa wewe na wazawa wako nchi hii ambamo unaishi kama mgeni; yaani nchi yote ya Kanaani iwe mali yenu milele; nami nitakuwa Mungu wao.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 17Mwanzo 17:8 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Nami nitakupa wewe na uzao wako baada yako nchi hii unayokaa kama mgeni, nchi yote ya Kanaani, kuwa milki ya milele; nami nitakuwa Mungu wao.
Shirikisha
Soma Mwanzo 17