Mwanzo 19:16
Mwanzo 19:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Loti akawa anasitasita. Lakini kwa vile Mwenyezi-Mungu alivyomhurumia Loti, wale malaika wakamshika yeye, mkewe na binti zake wawili, wakamtoa nje ya mji.
Shirikisha
Soma Mwanzo 19Mwanzo 19:16 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akakawiakawia; nao wale watu wakamshika mkono, na mkono wa mkewe, na mkono wa binti zake wawili, kwa jinsi BWANA alivyomhurumia, wakamtoa wakamweka nje ya mji.
Shirikisha
Soma Mwanzo 19