Mwanzo 19:29
Mwanzo 19:29 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Ikawa Mungu alipoiharibu miji ya Bondeni, Mungu akamkumbuka Ibrahimu, akamtoa Lutu katika maangamizi alipoiangamiza miji hiyo aliyokaa Lutu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 19Mwanzo 19:29 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu alipoiangamiza miji ya bondeni alimokuwa anakaa Loti, alimkumbuka Abrahamu kwa kumtoa Loti katika miji hiyo, ili Loti asije akaangamia pamoja nayo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 19