Mwanzo 2:18
Mwanzo 2:18 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA Mungu akasema, “Si vyema huyu mtu awe peke yake. Nitamfanyia msaidizi wa kumfaa.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 2Mwanzo 2:18 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Mwenyezi-Mungu akasema, “Si vizuri huyu mwanamume kuwa peke yake. Nitamfanyia msaidizi wa kumfaa.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 2