Mwanzo 2:23
Mwanzo 2:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndipo huyo mwanamume akasema, “Naam! Huyu ni mfupa kutoka mifupa yangu, na nyama kutoka nyama yangu. Huyu ataitwa ‘Mwanamke’, kwa sababu ametolewa katika mwanamume.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 2Mwanzo 2:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2