Mwanzo 2:7
Mwanzo 2:7 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Mwenyezi-Mungu akamfanya mwanamume kwa mavumbi ya udongo, akampulizia puani pumzi ya uhai, na huyo mwanamume akawa kiumbe hai.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2Mwanzo 2:7 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA Mungu alimuumba mtu kutoka mavumbi ya ardhi, akampulizia pumzi ya uhai puani mwake, naye mtu akawa kiumbe hai.
Shirikisha
Soma Mwanzo 2