Mwanzo 21:1
Mwanzo 21:1 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu alimkumbuka Sara, akamtendea kama alivyoahidi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 21Mwanzo 21:1 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Wakati huu BWANA akamrehemu Sara kama alivyokuwa amesema, naye BWANA akamtendea Sara kile alichokuwa ameahidi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 21