Mwanzo 21:12
Mwanzo 21:12 Biblia Habari Njema (BHN)
Lakini Mungu akamwambia Abrahamu, “Usihuzunike kwa sababu ya mtoto huyu, wala huyo mtumwa wako wa kike. Lolote akuambialo Sara lifanye; kwa kweli wazawa wako watatokana na Isaka.
Shirikisha
Soma Mwanzo 21Mwanzo 21:12 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Lakini Mungu akamwambia, “Usihuzunike hivyo kwa sababu ya kijana na mtumishi wako wa kike. Sikiliza lolote Sara analokuambia, kwa sababu uzao wako utahesabiwa kupitia kwake Isaki.
Shirikisha
Soma Mwanzo 21