Mwanzo 21:13
Mwanzo 21:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Na kuhusu huyo mwana wa mjakazi wako, nitamfanya awe baba wa taifa kubwa kwa kuwa yeye pia ni mtoto wako.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 21Mwanzo 21:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye mwana wa mjakazi nitamfanya kuwa taifa, maana huyu naye ni uzao wako.
Shirikisha
Soma Mwanzo 21