Nembo ya Programu ya Biblia
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 21:33 - Linganisha Matoleo Yote

Mwanzo 21:33 BHN (Biblia Habari Njema)

Abrahamu akapanda mkwaju huko Beer-sheba, akaomba kwa jina la Mwenyezi-Mungu, akamwabudu Mungu, Mungu wa milele.

Shirikisha
Mwanzo 21 BHN

Mwanzo 21:33 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

Ibrahimu akapanda mkwaju huko Beer-sheba, akaliitia huko jina la BWANA Mungu wa milele.

Shirikisha
Mwanzo 21 SUV

Mwanzo 21:33 SRUV (Swahili Revised Union Version)

Abrahamu akapanda mkwaju huko Beer-sheba, akaliitia huko jina la BWANA Mungu wa milele.

Shirikisha
Mwanzo 21 SRUV

Mwanzo 21:33 NEN (Neno)

Abrahamu akapanda mti wa mkwaju huko Beer-Sheba, na hapo akaliitia jina la BWANA, Mungu wa milele.

Shirikisha
Mwanzo 21 NEN