Mwanzo 22:2
Mwanzo 22:2 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akasema, Umchukue mwanao, mwana wako wa pekee, umpendaye, Isaka, ukaende zako mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa huko juu ya mlima mmojawapo nitakaokuambia.
Shirikisha
Soma Mwanzo 22Mwanzo 22:2 Biblia Habari Njema (BHN)
Mungu akamwambia, “Mchukue mwanao, Isaka, mwanao wa pekee umpendaye, uende mpaka nchi ya Moria, ukamtoe sadaka ya kuteketezwa juu ya mlima mmojawapo nitakaokuonesha.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 22