Mwanzo 24:60
Mwanzo 24:60 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, wakambariki Rebeka wakisema, “Ewe dada yetu! Uwe mama wa maelfu kwa maelfu; wazawa wako waimiliki miji ya adui zao.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 24Mwanzo 24:60 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Wakambariki Rebeka, wakamwambia, “Ndugu yetu, uwe wewe kumi elfu, mara elfu nyingi, nao wazao wako wamiliki malango ya adui zao.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 24