Mwanzo 24:67
Mwanzo 24:67 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Isaka akamchukua Rebeka ndani ya hema iliyokuwa ya Sara mama yake, akawa mke wake. Isaka akampenda Rebeka na kupata faraja baada ya kifo cha mama yake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 24Mwanzo 24:67 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Isaka akamwingiza Rebeka katika hema ya mama yake, Sara, akamtwaa Rebeka, akawa mkewe, akampenda; Isaka akafarijika kwa ajili ya kufa kwa mama yake.
Shirikisha
Soma Mwanzo 24