Mwanzo 25:23
Mwanzo 25:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwambia, “Mataifa mawili yamo tumboni mwako; makabila mawili yatakayozaliwa nawe, yatafarakana. Moja litakuwa lenye nguvu kuliko lingine; mkubwa atamtumikia mdogo.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 25Mwanzo 25:23 Swahili Revised Union Version (SRUV)
BWANA akamwambia, Mataifa mawili yako tumboni mwako, Na makabila mawili ya watu watafarakana tangu tumboni mwako. Kabila moja litakuwa hodari kuliko la pili, Na mkubwa atamtumikia mdogo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 25