Mwanzo 25:28
Mwanzo 25:28 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Isaki, ambaye alikuwa anapendelea zaidi nyama za porini, alimpenda Esau, bali Rebeka alimpenda Yakobo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 25Mwanzo 25:28 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, Isaka akampenda Esau kwa sababu alipenda kula mawindo yake, lakini Rebeka akampenda Yakobo.
Shirikisha
Soma Mwanzo 25