Mwanzo 25:30
Mwanzo 25:30 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo akamwambia Yakobo, “Nafa njaa; tafadhali, nigawie chakula hicho chekundu nile.” (Ndiyo maana walimpanga jina Edomu yaani mwekundu).
Shirikisha
Soma Mwanzo 25Mwanzo 25:30 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Esau akamwambia Yakobo, “Haraka, nipe huo mchuzi mwekundu! Nina njaa kali sana!” (Hii ndiyo sababu pia aliitwa Edomu.)
Shirikisha
Soma Mwanzo 25