Mwanzo 25:32-33
Mwanzo 25:32-33 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Esau akasema, “Tazama, mimi niko karibu ya kufa, itanifaa nini haki ya mzaliwa wa kwanza?” Yakobo akamwambia, “Niapie kwanza.” Hivyo Esau akamwapia, akamuuzia Yakobo haki yake ya kuzaliwa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 25Mwanzo 25:32-33 Biblia Habari Njema (BHN)
Esau akasema, “Sawa! Niko karibu kufa; haki yangu ya mzaliwa wa kwanza itanifaa nini?” Yakobo akamwambia, “Niapie kwanza.” Basi, Esau akamwapia na kumwuzia Yakobo haki yake ya mzaliwa wa kwanza.
Shirikisha
Soma Mwanzo 25