Mwanzo 26:22
Mwanzo 26:22 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha Isaka akaenda mahali pengine na kuchimba kisima kingine. Lakini hicho hawakukigombania; hivyo Isaka akakiita Rehobothi akisema, “Sasa Mwenyezi-Mungu ametuachia nafasi, nasi tutastawi katika nchi hii.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 26Mwanzo 26:22 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akaondoka huko akachimba kisima kingine, wala hicho hawakukigombania. Akakiita jina lake Rehobothi, akasema, Kwa kuwa sasa BWANA ametufanyia nafasi, nasi tutazidi katika nchi.
Shirikisha
Soma Mwanzo 26