Mwanzo 26:25
Mwanzo 26:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akajenga madhabahu huko, akaliitia jina la BWANA. Akapiga hema yake huko, na watumwa wa Isaka wakachimba kisima huko.
Shirikisha
Soma Mwanzo 26Mwanzo 26:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo, Isaka akajenga huko madhabahu, akamwabudu Mwenyezi-Mungu. Akapiga kambi huko; na watumishi wake wakachimba kisima.
Shirikisha
Soma Mwanzo 26