Mwanzo 27:38
Mwanzo 27:38 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Esau akamwambia baba yake, “Je, baba yangu una baraka moja tu? Unibariki mimi pia, baba yangu!” Kisha Esau akalia kwa sauti kubwa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 27Mwanzo 27:38 Biblia Habari Njema (BHN)
Esau akamwambia baba yake, “Baba, kwani una baraka moja tu? Nibariki hata mimi, ee baba!” Hapo Esau akalia kwa sauti kubwa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 27