Mwanzo 28:13
Mwanzo 28:13 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu alisimama juu ya ngazi hiyo, akamwambia, “Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wa Abrahamu baba yako, na Mungu wa Isaka. Nchi unayoilalia nitakupa wewe na wazawa wako.
Shirikisha
Soma Mwanzo 28Mwanzo 28:13 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na tazama, BWANA amesimama juu yake, akasema, Mimi ni BWANA, Mungu wa Abrahamu baba yako, na Mungu wa Isaka; nchi hii unayolala nitakupa wewe na uzao wako.
Shirikisha
Soma Mwanzo 28