Mwanzo 28:14
Mwanzo 28:14 Biblia Habari Njema (BHN)
Wazawa wako watakuwa wengi kama mavumbi ya dunia, na milki yao itaenea kila mahali: Magharibi, Mashariki, Kaskazini na Kusini. Kwako jamii zote duniani zitabarikiwa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 28Mwanzo 28:14 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Uzao wako utakuwa kama mavumbi ya nchi, nawe utaenea upande wa magharibi na mashariki, kaskazini na kusini. Kupitia wewe na uzao wako mataifa yote ya duniani yatabarikiwa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 28