Mwanzo 28:15
Mwanzo 28:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Na tazama, mimi nipo pamoja nawe, nitakulinda kila uendako, nami nitakuleta tena mpaka nchi hii, kwa maana sitakuacha, hata nitakapokufanyia hayo niliyokuambia.
Shirikisha
Soma Mwanzo 28Mwanzo 28:15 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Niko pamoja nawe nami nitakulinda kila uendako na nitakurudisha katika nchi hii. Sitakuacha mpaka nitakapofanya hayo niliyokuahidi.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 28