Mwanzo 28:16
Mwanzo 28:16 Biblia Habari Njema (BHN)
Ndipo Yakobo akaamka usingizini, akasema, “Hakika, Mwenyezi-Mungu yupo mahali hapa, nami sikujua!”
Shirikisha
Soma Mwanzo 28Mwanzo 28:16 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Yakobo alipoamka kutoka usingizini, akawaza, “Hakika BWANA yuko mahali hapa, wala mimi sikujua.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 28