Mwanzo 28:19
Mwanzo 28:19 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akaita jina la mahali pale Betheli; lakini jina la mji ule hapo kwanza uliitwa Luzu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 28Mwanzo 28:19 Biblia Habari Njema (BHN)
Akapaita mahali hapo Betheli; lakini jina la awali la mji huo lilikuwa Luzu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 28