Mwanzo 29:20
Mwanzo 29:20 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Yakobo akatumika miaka saba kwa kumpata Raheli. Ikawa machoni pake kama siku chache tu kwa vile alivyompenda.
Shirikisha
Soma Mwanzo 29Mwanzo 29:20 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Kwa hiyo Yakobo akatumika miaka saba ili kumpata Raheli, lakini ilionekana kwake kama siku chache tu kwa sababu ya upendo wake kwa Raheli.
Shirikisha
Soma Mwanzo 29