Chapa ya Youversion
Ikoni ya Utafutaji

Mwanzo 29:27 - Linganisha Matoleo Yote

Mwanzo 29:27 BHN (Biblia Habari Njema)

Mtimizie Lea siku zake saba, nasi tutakupa Raheli kwa utumishi wa miaka saba mingine.”

Shirikisha
Mwanzo 29 BHN

Mwanzo 29:27 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)

timiza siku zake saba, nasi tutakupa huyu naye kwa utumishi utakaonitumikia, miaka saba mingine.

Shirikisha
Mwanzo 29 SUV

Mwanzo 29:27 SRUV (Swahili Revised Union Version)

timiza siku zake saba, nasi tutakupa huyu naye kwa utumishi utakaonitumikia, miaka saba mingine.

Shirikisha
Mwanzo 29 SRUV

Mwanzo 29:27 NEN (Neno)

Maliza juma la arusi ya binti huyu, kisha pia nitakupa huyu binti mdogo, kwa kutumika miaka mingine saba.”

Shirikisha
Mwanzo 29 NEN