Mwanzo 29:28 - Linganisha Matoleo Yote
Mwanzo 29:28 BHN (Biblia Habari Njema)
Yakobo akakubali. Na Yakobo alipomtimizia Lea siku zake saba, Labani akampa Raheli, binti yake mdogo awe mke wake.
Shirikisha
Mwanzo 29 BHNMwanzo 29:28 SUV (Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia)
Yakobo akafanya hivi, akatimiza siku zake saba. Naye akampa Raheli binti yake kuwa mkewe.
Shirikisha
Mwanzo 29 SUVMwanzo 29:28 SRUV (Swahili Revised Union Version)
Yakobo akafanya hivi, akatimiza siku zake saba. Naye Labani akampa Raheli, binti yake, kuwa mkewe.
Shirikisha
Mwanzo 29 SRUVMwanzo 29:28 NEN (Neno)
Naye Yakobo akafanya hivyo. Akamaliza juma na Lea, kisha Labani akampa Raheli binti yake kuwa mke wake.
Shirikisha
Mwanzo 29 NEN