Mwanzo 29:31
Mwanzo 29:31 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
BWANA akaona ya kwamba Lea hakupendwa, naye akafungua tumbo lake; bali Raheli alikuwa hazai.
Shirikisha
Soma Mwanzo 29Mwanzo 29:31 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
BWANA alipoona kwamba Lea hapendwi, akampa watoto, lakini Raheli alikuwa tasa.
Shirikisha
Soma Mwanzo 29