Mwanzo 3:11
Mwanzo 3:11 Biblia Habari Njema (BHN)
Mwenyezi-Mungu akamwuliza, “Nani aliyekuambia kwamba uko uchi? Je, umekula tunda la mti nililokuamuru usile?”
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:11 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akasema, Ni nani aliyekuambia ya kuwa u uchi? Je! Umekula matunda ya mti niliyokuagiza usiyale?
Shirikisha
Soma Mwanzo 3