Mwanzo 3:15
Mwanzo 3:15 Biblia Habari Njema (BHN)
Nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, kati ya uzawa wako na uzawa wake; yeye atakiponda kichwa chako, nawe utamwuma kisigino chake.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:15 Swahili Revised Union Version (SRUV)
nami nitaweka uadui kati yako na huyo mwanamke, na kati ya uzao wako na uzao wake; huo utakuponda kichwa, na wewe utamponda kisigino.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3