Mwanzo 3:17
Mwanzo 3:17 Biblia Habari Njema (BHN)
Kisha akamwambia huyo mwanamume, “Kwa kuwa wewe umemsikiliza mkeo, ukala matunda ya mti ambayo nilikuamuru usile; kwa hiyo, kwa kosa lako ardhi imelaaniwa. Kwa jasho utajipatia humo riziki yako, siku zote za maisha yako.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:17 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Akamwambia Adamu, Kwa kuwa umeisikiliza sauti ya mke wako, ukala matunda ya mti ambao nilikuagiza, nikisema, Usiyale; ardhi imelaaniwa kwa ajili yako; kwa uchungu utakula mazao yake siku zote za maisha yako
Shirikisha
Soma Mwanzo 3