Mwanzo 3:20
Mwanzo 3:20 Biblia Habari Njema (BHN)
Adamu akampa mkewe jina “Hawa”, kwani alikuwa mama wa binadamu wote.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:20 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Adamu akamwita mkewe jina lake Hawa; kwa kuwa yeye ndiye aliye mama yao wote walio hai.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3