Mwanzo 3:24
Mwanzo 3:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Alimfukuza nje, na kuweka mlinzi upande wa mashariki wa bustani ya Edeni na upanga wa moto uliogeuka huko na huko, kuilinda njia iendayo kwenye mti wa uhai.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:24 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Basi akamfukuza huyo mtu, akaweka Makerubi, upande wa mashariki wa bustani ya Edeni, na upanga wa moto uliogeuka huku na huko, kuilinda njia ya mti wa uzima.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3