Mwanzo 3:6
Mwanzo 3:6 Biblia Habari Njema (BHN)
Basi, mwanamke alipoona kuwa mti huo ni mzuri kwa chakula, wavutia macho, na kwamba wafaa kwa kupata hekima, akachuma tunda lake, akala, akampa na mumewe, naye pia akala.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3Mwanzo 3:6 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Mwanamke alipoona ya kuwa ule mti wafaa kwa chakula, wapendeza macho, nao ni mti wa kutamanika kwa maarifa, basi alichuma matunda yake akala, akampa na mumewe, naye akala.
Shirikisha
Soma Mwanzo 3