Mwanzo 30:23
Mwanzo 30:23 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akapata mimba, akazaa mwana, akasema, Mungu ameondoa aibu yangu.
Shirikisha
Soma Mwanzo 30Mwanzo 30:23 Biblia Habari Njema (BHN)
Raheli akapata mimba, akajifungua mtoto wa kiume, akasema, “Mungu ameniondolea aibu yangu.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 30