Mwanzo 30:24
Mwanzo 30:24 Biblia Habari Njema (BHN)
Kwa hiyo akamwita mtoto huyo Yosefu akisema, “Mwenyezi-Mungu na aniongezee mtoto mwingine wa kiume.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 30Mwanzo 30:24 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Akamwita Yosefu na kusema, “BWANA na anipe mwana mwingine.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 30