Mwanzo 32:10
Mwanzo 32:10 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
mimi sistahili hata kidogo hizo rehema zote na kweli yote uliyomfanyia mtumwa wako; maana nalivuka mto huo wa Yordani na fimbo yangu tu, na sasa nimekuwa matuo mawili.
Shirikisha
Soma Mwanzo 32Mwanzo 32:10 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
mimi sistahili fadhili na uaminifu wako wote ulionitendea mimi mtumishi wako. Nilikuwa na fimbo tu mkononi mwangu nilipovuka mto huu wa Yordani, lakini sasa ninayo makundi mawili.
Shirikisha
Soma Mwanzo 32