Mwanzo 32:11
Mwanzo 32:11 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Uniokoe sasa na mkono wa ndugu yangu, mkono wa Esau, maana mimi namwogopa, asije akanipiga, na mama pamoja na wana.
Shirikisha
Soma Mwanzo 32Mwanzo 32:11 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Nakuomba, uniokoe na mkono wa ndugu yangu Esau, kwa maana ninaogopa kuwa atakuja kunishambulia, pia mama pamoja na watoto wao.
Shirikisha
Soma Mwanzo 32