Mwanzo 32:25
Mwanzo 32:25 Biblia Habari Njema (BHN)
Mtu huyo alipoona kwamba hawezi kumshinda Yakobo, alimgusa Yakobo nyonga ya kiuno, naye akateguka alipokuwa anapigana naye mwereka.
Shirikisha
Soma Mwanzo 32Mwanzo 32:25 Swahili Revised Union Version (SRUV)
Naye alipoona ya kuwa hamshindi, alimgusa panapo uvungu wa paja lake; ukateguka uvungu wa paja la Yakobo alipokuwa akishindana naye.
Shirikisha
Soma Mwanzo 32