Mwanzo 32:26
Mwanzo 32:26 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akasema, Niache, niende, maana kunapambazuka. Akasema, Sikuachi, usiponibariki.
Shirikisha
Soma Mwanzo 32Mwanzo 32:26 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ndipo yule mtu akasema, “Niache niende, kwa kuwa ni mapambazuko.” Lakini Yakobo akajibu, “Sitakuacha uende usiponibariki.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 32