Mwanzo 32:28
Mwanzo 32:28 Maandiko Matakatifu ya Mungu Yaitwayo Biblia (SUV)
Akamwambia, Jina lako hutaitwa tena Yakobo, ila Israeli, maana umeshindana na Mungu, na watu, nawe umeshinda.
Shirikisha
Soma Mwanzo 32Mwanzo 32:28 Neno: Bibilia Takatifu (NEN)
Ndipo yule mtu akasema, “Jina lako halitakuwa tena Yakobo, bali Israeli, kwa sababu umeshindana na Mungu na watu pia, nawe umeshinda.”
Shirikisha
Soma Mwanzo 32